Thursday, 2 April 2015

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama Bw. Amani Mwatonoka (wa kwanza kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji, Biashara na Sekta za Uzalishaji Bw. Bernard Haule (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. Eliabi Chodota akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama Dr. Franklin Rwezimula (kulia) akikabidhiwa nembo ya Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria na Kiongozi wa Ujumbe kutoka chuo hicho Brigadia Generali Mo Jimoh (kushoto) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.


Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George Lauo (kulia) akifafanua jambo kwa Kiongozi wa Ujumbe kutoka Chuo cha kijeshi cha Nchini Nigeria Brigadia Generali Mo Jimoh (kushoto) walipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George Lauo (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) walipoitembelea Wizara 01/04/2015. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama Dkt. Franklin Rwezimula.

Wakurugenzi wa Idara wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Chuo cha kijeshi cha Nchini Nigeria walipoitembelea Wizara wakiongozwa na Brigadia Generali Mo Jimoh (Watatu kulia mstari wa mbele) kiongozi wa ujumbe huo 01/04/2015.