Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt.
Margaret Zziwa akizungumza kwenye ufunguzi wa bunge hilo.
3. Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto)
akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa wakati
wa ufunguzi wa vikao vya bunge hilo kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam 27August, 2014.

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) la kwanza kufanyika Dar es Salaam,
tangu kuanza kwa utaratibu wa kufanyika kwa bunge hilo kwa mzunguko kwa kila
nchi mwanachama wa Jumuiya.
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa
Tanzania Dkt. Abdullah Juma Abdullah Saadalla (wa pili kushoto), akifuatilia
ufunguzi wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza
la Mawaziri wa Afrika Mashariki, Phyllis
Kandie (Waziri kutoka Kenya)
Shem Bagaine (Waziri kutoka Uganda), Leontine Nzeyimana (Waziri kutoka Burundi),
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Richard Sezibera na kushoto ni Mwanasheria
Mkuu wa Jumuiya hiyo Wilbert Kaahwa.
Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wakiwa katika picha ya
pamoja na Spika wa Bunge hilo Dkt. Margaret Zziwa (wa nne kutoka kulia
waliokaa) na Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda, mara baada ya ufunguzi wa
bunge hilo.
No comments:
Post a Comment