Naibu Waziri Mh. Dkt. Abdullah Juma Saadalla (Katikati), Katibu Mkuu Bi. Joyce Mapunjo (kushoto) na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mh. Nassor Ahmed Mazrui wakiongoza kikao cha majadiliano ya Nchi (Tanzania) leo Nov. 27,2014 jijini Nairobi, Kenya. |