Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo akiongea na wajasiriamali wakati wa maonesho ya Juakali/Nguvukazi |
Wajasiriamali wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa katika maonesho ya 16 ya Juakali/Nguvukazi yaliyofanyika mnazimmo jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 30 Novemba hadi 6 Disemba 2015 |
Wajasiriamali wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa katika maonesho ya 16 ya Juakali/Nguvukazi yaliyofanyika mnazimmo jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 30 Novemba hadi 6 Disemba 2015 |
Bidhaa mbalimbali za wajasiriamali zikiwa kwenye mabanda ya maonesho ya Juakali/Nguvukazi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam.
|
Wajasiriamali wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa katika maonesho ya 16 ya Juakali/Nguvukazi yaliyofanyika mnazimmo jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 30 Novemba hadi 6 Disemba 2015.
|
Wananchi wakiangalia mashine ya kusaga vyakula vya mifugo na nafaka iliyobuniwa na mjasiriamali katika maonesho ya 16 ya Juakali/Nguvukazi yaliyofanyika viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar 2/12/2015. |