Tuesday, 21 October 2014

Naibu Waziri Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala  mwenye kofia akioneshwa  namna Meli ya RV Jumuiya ya Ziwa Victoria Jijini Mwanza inavyofanya kazi, ikiwa katika mwendo ndani ya maji na nahodha wa meli hiyo  Captain Juma Nkwama Tarehe 14/10/2014.
Nahodha wa Meli ya RV Jumuiya Capt. Juma Nkwama akionesha furaha yake mara baada ya kumuonesha Naibu Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala namna Meli hiyo inavyofanyakazi ikiwa ndani ya maji Tarehe 14/10/2014.
Naibu Waziri wa Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala akitiasaini kitabu cha mahudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza Tarehe 14/10/2014.
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala akiendesha kikao ndani ya Meli ya RV Jumuiya ya Ziwa Victoria Jijini Mwanza Tarehe 14/10/2014.Naibu Waziri Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadala akifafanua jambo ndani ya Meli ya RV Jumuiya ya Ziwa Victoria Jijini Mwanza katika kikao chake na nahodha wa Meli hiyo Peter Nkwama na Mhandisi wa meli hiyo Herman Bundala. Tarehe 14/10/2014.

Picha ya Meli ya RV Jumuiya, Meli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Ziwa Victoria Jijini Mwanza.Tarehe 14/10/2014.
                                                                
No comments:

Post a Comment