Thursday, 11 June 2015

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal (aliyeketi) akiongoza ujumbe kutoka Tanzania kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wanachama wa SADC, EAC na COMESA uliofanyika Sharm El Sheikh, Nchini Misri Tarehe 10 June, 2015. Waliosimama ni Mhe. Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe (Wanne kulia), Katibu Mkuu Bi. Joyce Mapunjo (katikati mstari wa nyuma) na Naibu katibu Mkuu Bw. Amentius Msole (wakwanza kushoto mstari wa mwisho)

No comments:

Post a Comment