Tuesday, 14 June 2016

KATIBU MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI

Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P.Mlima na Mhe. Balozi Katarina Rangnit wakijadili jambo kwenye Mkutano uliofanyika Juni 13, 2016, Wizarani, wanaofuatilia kulia ni Wakurugenzi kutoka Wizarani Bw. Geoffrey Mwambe, Bw. Oswald Kyamani na Bw. Eliabi Chodota.

Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P Mlima akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Balozi Katarina Rangnitt alipomtembelea Wizarani, Juni 13, 2016.
Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz Mlima na Mhe. Balozi Katarina Rangnitt wakiwasilikiza Mkurugenzi Mkazi wa TMEA Dkt. Josaphat Kweka ( wa kwanza kushoto kwa Balozi), Bi Sara Spant kutoka Ubalozi wa Sweden na Bw. Ulf Ekdahl kutoka Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) katika Mkutano uliofanyika Wizarani Juni 13,2016

No comments:

Post a Comment