Monday, 20 June 2016

MHE. WAZIRI BALOZI DKT. MAHIGA AKUTANA NA RAIS WA SERIKALI YA ZANZIBAR MHE. DKT. SHEIN

Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein akielezea jambo kwa Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu, Zanzibar mwishoni mwa wiki
Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) alipomtembelea Ikulu Zanzibar.
Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) alipotembelea Zanzibar mwishoni mwa wiki.
Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) aliotembelea Ikulu 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
No comments:

Post a Comment