Saturday, 10 January 2015

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Bw. Said A.S Natepe akisaini Kitabu cha Wageni alipotembelea Banda la Wizara kwenye Tamasha la Pili la Biashara Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Maisara Mjini Unguja Tarehe 5- 12/1/2015.

Baadhi ya Wananchi waliotembelea Banda la Wizara kwenye Tamasha la Pili la Biashara Zanzibar wakisaini Kitabu cha Wageni. Tarehe 9/1/2015
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara Bi. Robi Bwiru na Maofisa wengine wa Wizara wakitoa Elimu kwa Wananchi waliotembelea Banda la Wizara kwenye Tamasha la Pili la Bishara Zanzibar Tarehe 9/10/2015. 

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Dr. Abdullah Makame (Kulia) akiwa kwenye Sherehe za Ufunguzi wa Tamasha la Pili la Bishara Zanzibar Kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara Tarehe 9/1/2015.


Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  Balozi Seif Ali Idd (kulia) akipewa maelezo na Maofisa wa Wizara (hawapo pichani) alipotembelea Banda la Wizara mara baada ya Sherehe za Ufunguzi wa Tamasha la Pili la Biashara Zanzibar.No comments:

Post a Comment