Thursday, 30 April 2015

Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George P.E. Lauwo (Kulia) akikabidhiwa Mkasi na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Afrika  Bw. Josaphat Kweka (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utekelezaji wa Miradi ya shirika hilo kwa mwaka 2013/2014 katika Hoteli ya Serena Dar-es-Salaam. TradeMark East Afrika (TMEA) ni Shirika lisilo la Kiserikali linalofadhili Miradi mbalimbali ya Kibiashara Afrika Mashariki ikiwemo Mradi wa Ujenzi wa Vituo vya Utoaji Huduma Pamoja Mpakani.

Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George P.E. Lauwo (kulia) akikata utepe wakati akizindua ripoti ya utekelezaji wa Miradi ya Shirika la TradeMark East Afrika katika Hoteli ya Serena Dsm, Kushoto ni Bw. Josaphat Kweka Mkurugenzi Mkazi wa Shirika hilo 30/4/2015.

Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George P.E. Lauwo akionesha ripoti ya utekelezaji wa Miradi ya TradeMark East Afrika 2013/2014 mara baada ya uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dsm 30/4/2015.


Wednesday, 8 April 2015

Mheshimiwa Waziri (kulia) akifungua maadhimisho ya mauaji ya Kimbari 21 ya Wanyarwanda yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar-es-Salaam Tarehe 07/04/2015.

Mheshimiwa Waziri (kulia) akifungua maadhimisho ya mauaji ya Kimbari 21 ya Wanyarwanda yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar-es-Salaam Tarehe 07/04/2015.

Thursday, 2 April 2015

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Bw. Oswald Kyamani akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama Bw. Amani Mwatonoka (wa kwanza kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji, Biashara na Sekta za Uzalishaji Bw. Bernard Haule (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. Eliabi Chodota akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama Dr. Franklin Rwezimula (kulia) akikabidhiwa nembo ya Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria na Kiongozi wa Ujumbe kutoka chuo hicho Brigadia Generali Mo Jimoh (kushoto) ulipoitembelea Wizara 01/04/2015.


Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George Lauo (kulia) akifafanua jambo kwa Kiongozi wa Ujumbe kutoka Chuo cha kijeshi cha Nchini Nigeria Brigadia Generali Mo Jimoh (kushoto) walipoitembelea Wizara 01/04/2015.

Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Kijamii Bw. George Lauo (kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nchini Nigeria (hawapo pichani) walipoitembelea Wizara 01/04/2015. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama Dkt. Franklin Rwezimula.

Wakurugenzi wa Idara wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Chuo cha kijeshi cha Nchini Nigeria walipoitembelea Wizara wakiongozwa na Brigadia Generali Mo Jimoh (Watatu kulia mstari wa mbele) kiongozi wa ujumbe huo 01/04/2015.