Friday, 8 April 2016

HABARI PICHA; UZINDUZI WA DARAJA LA KIMATAIFA RUSUMO NA KITUO CHA HUDUMA PAMOJA MPAKANI RUSUMO

Jiwe la Msingi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame wakikata utepe kweye sherehe za uzinduzi wa Daraja la Kimataifa la Rusumo na Kituo cha huduma Pamoja Mpakani Rusumo. Wakwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame wakiwa katika picha ya pamoja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame wakiwa tayari kukata utepe kwenye sherehe ya uzinduzi wa Daraja la Kimataifa la Rusumo na Kituo cha huduma kwa pamoja Mpakani Rusumo.

No comments:

Post a Comment