Wednesday, 29 July 2015

HABARI KATIKA PICHA ZA MATUKIO YALIYOJILI KWEYE MKUTANO WA 16 WA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI INAYO FADHILIWA NA TMEA POMOJA NA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA FEDHA, MAMBO YA UCHUMI NA BAJETI ULIOFANYIKA ZANZIBAR

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sera na Mipango Bw. Petro Lyatuu (katikati) akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Bibi Graceana Shirima (wakwanza kushoto) wakifuatilia jambo kwenye Mkutano wa 16 wa  wadau wa kutoa Taarifa ya utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na Shirika la TradeMark East Afrika (TMEA) kwa kipindi cha Robo ya Nne ya Mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam 28 July, 2015.
Baadhi ya wajumbe wakifurahia jambo kwenye Mkutano wa 16 wa wadau wa kutoa Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Shirika la TradeMark East Afrika kwa Robo ya Nne ya Mwaka 2014/2015. 28 July, 2015.
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo (katikati) wakijadili jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la TradeMark East Afrika (TMEA) Dkt.  Josaphat Kweka (kulia)  kwenye Mkutano wa 16 wa Wadau wa kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na Shirika la TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam 28 July, 2015. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. David Stanton
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo (katikati) wakijadili jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la TradeMark East Afrika Dkt. Josaphat Kweka (kulia) kwenye Mkutano wa 16 wa wadau wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Shirika la TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015. Kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. David Stanton 28 July, 2015.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bibi Robi Bwiru akiwa na baadhi ya wajumbe wengine kwenye Kikao cha 16 cha wadau cha kutoa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya inayofadhiliwa na Shirika la TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 kilichofanyika Serena Hotel Jijini Dar es Salaam 28 July, 2015.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bibi Joyce Mapunjo (mwenye koti jekundu) akiwa na wajumbe wengine kwenye Mkutano  Baraza la Mawaziri wa Fedha na Mambo ya Uchumi na Bajeti uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kisiwani Unguja  tarehe 20 hadi 25 July, 2015.
Katibu MKuu Bibi Joyce Mapunjo (katikati) , Mkurugenzi Mkuu wa TMEA Bw. David Stanton (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa TMEA Dkt. Josaphat Kweka (kulia) wakifuatilia  Mkutano wa 16 wa wadau wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Shirika la TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar 28 July, 2015.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sera na Mipango Bw. Petro Lyatuu(kushoto), Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Bibi Graceana Shirima wakijadili jambo kwenye Mkutano wa 16 wa wadau wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Shirika la TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar 28 July, 2015. 
Mkurugenzi Mkuu  wa TMEA Bw. David Stanton (kulia) akifafanua jambo kwenye Mkutano wa 16 wa wadau wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Shirika hilo uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam 28 July, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara Bibi Joyce Mapunjo
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sera na Mipango Bw. Petro Lyatuu akizungumza kwenye Mkutano wa 16 wa wadau wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam 28 July, 2015.
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo akisisitiza jambo kwenye Mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 Tarehe 28 July 2015.
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo akisisitiza jambo kwenye Mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 Tarehe 28 July 2015.
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo (katikati) akisisitiza jambo kwenye Mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 Tarehe 28 July 2015. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TMEA Bw. David Stanton na Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika hilo Dkt. Josaphat Kweka 
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo (kushoto) akifuatilia jambo wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na TMEA kwenye Mkutano wa 16 wa wadau uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijin Dar es Salaam 28 July, 2015
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Biashara, Uwekezaji, na Sekta za Uzalishaji Bw. Bernard Haule akifuatilia Mkutano wa 16 wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar 28 July, 2015.
Katibu Mkuu Bibi Joyce Mapunjo (katikati mwenye miwani) akiwa na wajumbe wengine katika picha ya pamoja mara baada ya Mkutano wa 16 wa wadau wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na TMEA kwa robo ya nne ya mwaka 2014/2015 uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar 28 July, 2015.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bibi Joyce Mapunjo ((Katikati mstari wa mbele) akifuatilia kwamakini Mkutano uliokuwa ukiendelea wa  Baraza la Mawaziri wa Fedha na Mambo ya Uchumi na Bajeti uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Unguja tarehe 20 hadi 25 July, 2015.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bibi Joyce Mapunjo (Katikati mstari wa mbele) akiwa na wajumbe wengine kwenye Mkutano  Baraza la Mawaziri wa Fedha na Mambo ya Uchumi na Bajeti uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kisiwani Unguja  tarehe 20 hadi 25 July, 2015.

Wapili kushoto ni Afisa Uchumi Kutoka Wizarani Bw. Emmanuel Mbwambo akiwa kwenye Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Fedha na Mambo ya Uchumi na Bajeti uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kisiwani Unguja tarehe 20 hadi 25 July, 2015.

No comments:

Post a Comment