Saturday, 16 January 2016

HABARI KATIKA PICHA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe (kushoto) akifanunua jambo kwa waandishi wa habari wakati akizungumza na waandishi hao Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Maiga.
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Maiga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  katika ukumbi mdogo wa mikutano wa  Wizara, Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe 15/01/2016.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe (kushoto) akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) alipomtembelea Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wa Nchini Tanzania Mhe. Balozi Augustine Maiga (katikati), kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino  Serikalini  Wizara ya Mambo Nje Bi. Mindi Kasiga 15/01/2016,
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Maiga (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe (kushoto) alipomtembea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam 15/01/2016. 
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mhe. Balozi Dkt. Augustine Maiga (kulia) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe (kushoto) alipomtembea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam 15/01/2016.No comments:

Post a Comment