Tuesday, 16 February 2016

MKUTANO WA NANE (8) WA WATAALAM WA ENEO HURU LA BIASHARA YA UTATU (COMESA-EAC-SADC)

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kikanda Balozi Innocent Shio akisalimiana na Mwenyeki wa Mkutano. 
Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda Balozi Innocent Shio (kulia) akizungumza katika Mkutano wa Nane, ngazi ya wataalam wa eneo huru la Biashara ya Utatu, kushoto ni Mwenyekiti wa Mkutano huo.
Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda Balozi Innocent Shio akifungua Mkutano wa Nane (8) ngazi ya wataalam wa eneo huru la biashara ya utatu (COMESA-EAC-SADC) unaofanyika katika Hoteli ya White Sand Jijini Dar es Salaam.No comments:

Post a Comment