Wednesday, 24 February 2016

TAASISI YA MAENDELEAO YA WANAWAKE YA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA NA WADAU JIJINI DAR ES SALAAM

Wajumbe wakifuatilia Mkutano
Mkurugenzi wa Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Bw. Bernard Haule akiwasilisha mada kwenye Mkutano kati ya Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Wadua uliofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl Jijini Dar es Salaam  Februari 23, 2016.
Baadhi ya Wadau (Wanawake wajasiriamali) wakifuatilia Mkutano kwa Makini wakiwa na bidhaa zao mezani.
Mkurugenzi Msaidizi wa Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Bw. Bernard Haule (kulia) akifuatilia jambo katika wakati wa mkutano kati ya Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Wadau uliofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl Jijini Dar es Salaam  Februari 23, 2016No comments:

Post a Comment