Friday, 4 March 2016

HABARI PICHA; MKUTANO WA 17 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Ujumbe wa  Tanzania ukifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Kawaida wakifuatilia maendeleo ya Mkutano huo uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha

Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakionesha mfano wa pasi za kusafiria ya Afrika Mashariki iliyozinduliwa Machi 2, 2016 Jijini Arusha.
Mshindi wa Insha Simon S. Mollel kutoka shule ya Sekondari Mzumbe akionesha pesa aliyopewa kama zawadi ya kuwa mshindi wa Kwanza Afrika Mashariki.
Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga (wakwanza kushoto) akimpongeza Katibu Mkuu mpya wa Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kuapa.
Katibu Mkuu mpya wa Sekretariti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Liberat Mfumukeko akiapa mara baada ya kuteuliwa kushisha nafasi hiyo.
Wajumbe wa mkutano kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano wa 17 Wakawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Jijini Arusha Machi 2, 2016.
Wajumbe wa Mkutano kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano wa 17 Wakawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Jijini Arusha Machi 2, 2016

No comments:

Post a Comment