Wednesday, 2 March 2016

WAZIRI AONGOZA MKUTANO WA 33 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

Mhe. Waziri Balozi Dkt. Mahiga ambaye ni mwenyekiti wa Barala la Mawaziri wa Afrika Mashariki akipokea ripoti ya Kamati ya Ukaguzi na Vihatarishi ya Mwaka 2014/15.
Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akimfuatilia Mwanasheria wa Jumuiya (hayupo pichani) wakati akiwasilisha taarifa kwenye Mkutano wa 33 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Kushoto ni Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P Mlima na Kulia ni Katibu Mkuu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera.
Baadhi ya Maafisa wa Tanzania wakifuatilia Mkutano
Mawaziri kutoka Tanzania (walioketi msatari wa mbele) wakifuatilia majadiliano yaliyokuwa yakiendelea katika Mkutano wa 33 wa Baraza la Mawaziri Jijini Arusha tarehe 29 Februari, 2016
Mhe.Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga akijadiliana Jambo na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P. Mlima, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Richard Sezibera na Mkurugenzi Idara ya Siasa Ulinzi na Usalama- EAC Bw. Stephen Mbundi.
No comments:

Post a Comment