Monday, 28 March 2016

WATALAM WAELEKEKEZI KUTOKA SAGCOT WAKUTANA NA WATAALAM WA WIZARA

Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw. James Lugaganya (wakwanza kushoto) akiwa na wataalam waelekezi kutoka SAGCOT  katika Mkutano uliofanyika jengo la Waterfront Jijini Dar
Wataalam waelekezi kutoka SAGCOT (kulia) wakiwa na wataalam wa Wizara Bw. Mashaka Chikoli (wapili kulia) na Bw. Juvenal Lema (wakwanza kulia) wakiwa kwenye Mkutano uliofanyika  katika Jengo la Waterfront Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment