Friday, 4 March 2016

HABARI PICHA; UZINDUZI WA BARABARA YA ARUSHA-HOLILI-TAVETA-VOI

Baadhi ya Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya vifaa vitakavyo tumika katika ujenzi wa barabara ya Arusha-Holili-Taveta-Voi Machi3, 2016
Baadhi ya Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakionesha furaha mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili-Taveta-Voi Jijini Arusha Machi 23, 2016
Baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Wawakilishi wa Wakuu wengine wakiwa katika picha ya pamoja na  viongozi mbalimbali kutoka Nchi wanachama mara baada ya Mkutano wa 17 wakaiwaida wa Wakuu hao uliofanyika Hoteli ya Ngurdoto Jijini Arusha Machi 2, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa Japan apande mti kwa niaba yake wakati wa uzinduzi wa barabara ya Arusha-holili-Taveta-Voi, Machi3, 2016 Tengeru Arusha
Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda Mhe. Valentine Rugwabiza (kulia) na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini (Kushoto) wakipanda miti kwenye uzinduzi wa barabara ya Arusha-holili-Taveta-Voi,  Machi 3, 2016 Tengeru Arusha.No comments:

Post a Comment